Kazi safi toka record label kubwa Tanzania "WCB" inayohusisha wanamuziki wawili mmoja akiwa ni lulu ya Dar Es salaam maarufu Kama baba Tiffah "Diamondplatinumz " akiwa ameshirikishwa na msoja toka Zimbabwe aitwaye "Jah " inakwenda kwa jina la "watora mari " ni moja ya nyimbo inayofanya vizuri sana kunako vituo mbalimbali vya burudani uko ughaibuni..kwa hili dai na Jah salute
Tazama video ya watora mari
Reviewed by Unknown
on
12:58:00
Rating: 5