Diamond hashindwa fanya kama ya kili awards
Diamond platnumz ashindwa tamba katika tuzo za MTV huko South Africa..Diamond aliyeingia katika vipengele viwili vya msanii bora Africa na wimbo bora wa kushirikiana bahati haikuwa yake safari hii na kuwaacha akina David(Nigeria) and Mafikizolo(South Africa) kutamba kwenye tuzo hizo.......Davido amekuwa msanii bora wa Africa wakati Mafikizolo wameshinda wimbo bora wa mwaka....