Alpha secondary school

Ifahamu Alpha secondary school.
Ni shule inayopatikana Tanzania katika jiji la Dar Es salaam.Ikiwa miongoni mwa shule zinazofaulisha Sana hapa Tz..Pia maisha ya shuleni apo ni mazuri tena yanaweza kutuzidi baadhi yetu....Je wafikiri ada kubwa na maisha mazuri shuleni ni chanzo cha ufaulu ?
Jionee picha yao
Hapo ni mkutano wa kawaida wa shule...hebu tuone majengo yao kwa nje
Laiti shule zetu za serikali zingekuwa hivi?🇹🇿👍🏿

Powered by Blogger.