Aisee ni shule pendwa hasa kwa wana dini flani ivi,..inatakata sana katika kufaulisha hapa Tanzania.Sijajua kama udini nao wachangia lakini hongereni na naomba tu msiwe mnafanya mchujo kama shule za serikali ili tupate kuwafahamu zaidi...kwa mazingira tu 👍🏿