BET awards this year is for the Tanzanians

Mwanamziki bora kwa sasa barani Africa hasa katika kanda ya Africa mashariki na kati amezidi jipatia jina kubwa hasa baada ya kufungua milango kwa collable zake za kimataifa hasa aliyeifanya na mzee wa skelewu wa Nigeria maarufu kama davido iitwayo ma number one remix umeing'arisha nyota ya star wa mbagala hadi kuingia kwenye tuzo kubwa duniani zilizoanzishwa na kituo maarufu marekani cha BET.Katika tuzo hizo zitakazotolewa June 29 huko marekani zitawakutanisha wababe wengi wa muziki Africa kama davido,mafikizolo,2face na wengine wengi wakipeperusha bara la pili kwa ukubwa duniani.Ni matumaini yangu kwa watanzania na wapenda muziki Africa kwamba hamtamwangusha ndugu yetu katika burudani Nasib Abdul..Fahamu zaid kuhusu yatakayojiri huko america kwa kutembelea www.wasafi.blogspot.com

Powered by Blogger.