St.Francis

Kwakwel unapozungumzia shule zinazotawala kwa ubora wa elimu husipoitaja st.francis basi wewew si muungwana.Ni moja ya shule inayotafuna sana fedha za wazazi maana ata wakisema ada kubwa kiasi gani kwa elimu yao bora lazma tutatoa..Ivi hii picha ni mandhari ya hii shule au tunadanganywa?

Na kama iyo haitoshi sie tuliozooea vibao vya kujengwa kwa tofali hebu tazama hiki
Kama ulisoma apo hebu comment nasi tupate kujifunza chochote kuhusu iyo shule maana hatukuruhusiwa kuvuka ilo geti 🖐🏿

Powered by Blogger.