Ile songea boys

Karibu songea boys...
Ni shule ya kale sana apa songea,na nafikiri wale waliosoma pale basi wanayakumbuka sana haya majengo
Lakini usifikiri kuna mabadiliko yoyote kwa hivi Sasa..Pia nawasiwasi na tabia iliyokuwa ikivuma wakati ule Asa ya migomo na Kama hii
Nafikiri hapa ndipo serikali inapasa kuanzia kama kweli wanataka mabadiliko ya elimu..kama ulisoma hapa tupe story zaidi kwa 0624088448

Powered by Blogger.