Wema atoa ya moyoni


UJUMBE WA ‘WEMA’ KWA
MASHABIKI KUHUSIANA NA
ISHU YA UJAUZITO WAKE NA
‘CHIBU’…!!

June 16, 2014 0
Kwa kile kinachodaiwa kuwa mwanadada Wema
Sepetu ana ujauzito wa Diamond a.k.a Chibu
Dangote . Huu ni ujumbe wema amepost kwenye
ukurasa wake wa Insta..
by @wemasepetu “Jamani hizi habari za mimi
kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im
NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi
wangu…
Powered by Blogger.